ENTERTAINMENT n BURUDANI MIX...!!

ENTERTAINMENT. BONGO CARTOONs. LOVE STORYs. DAR 2 MOSH. LYRICKs.




Rais Karume akutana na
Will Smith..
RAIS KARUME AKIZUNGUMZA NA WILL SMITH IKULU YA ZANZIBAR



                       *********@@@@@@@@@@*********

 

                   TOP IN JAIL...?!!

                     HII NDO TOP BAND....

HII NDO TOP BAND....
        TID na TOP BAND..............One Love


 Mastaa hawa walivyoipokea hukumu ya TID

Kalapina:
Kwa upande wangu mimi nilishangaa TID kuhukumiwa kifungo, kwasababu siku ya tukio tulikuwa wote ukumbini, huyo dogo aliyemshitaki ndiye alikuwa na matatizo. Wiki hii tunakata rufaa, naamini siku chache zijazo TID atakuwa nje

Thom G:

Kwajinsi nilivyo ipokea ni kwa masikitiko mixer mshtuko mkubwa!!...WHY...WHY?

Kwaimani yangu mimi nahisi kunaufisadi

about dat issue!


AY:
Ilinishutua sana, nimesikitika sana. Sikutegemea habari kama hiyo kwa kipindi hiki


 


Stara Thomas:
Du! Kwa kweli nilisikitika sana ila hakuna jinsi, kama kweli alipatikana na hatia atulie tu, hata familia yake pia itulie. Ni jambo linaloweza kumpata mtu yeyote, watulie tu mwaka utaisha atatoka, Mungu yupo. Ila sasa ni muda wa wasanii wote kuwa waangalifu sana na vitu tunavyofanya, maisha hayatabiriki.


 

Dudu:
Binafsi ilinishtua, ukizingatia kwamba nilikuwa sijui kama TID alikuwa na kesi. Ila nahisi TID alifanya uzembe kwa kudharau, kwasababu kesi kama hizi watu huwa wanamalizana kwa kuombana msamaha tu. Nasikitika kwasababu amefungwa kipindi hiki ambacho wasanii huwa tunatengeneza pesa sana, pia bendi yake, Top Band itakuwa katika wakati mgumu sana.


 


Prof J:
Ilinishtua sana, yaani kama naota, imeniuma lakini pia imenifundisha kuwasamehe wale wote niliokuwa na bifu nao. Nampa pole sana TID, kwasababu wote tuko chini ya sheria na tunaiheshimu.


 

Fid Q:
Niliipokea taarifa hiyo kwa masikitiko, lakini haijanishtua sana kwasababu nilitegemea kitu kama hicho. Kuna baadhi ya watu wana chuki na sisi wasanii, cha msingi ni kuwa makini ndiyo kitu nilichojifunza.


 

Madee:
Binafsi nahisi kama ni promosheni ambayo TID alikuwa anaitaka. Mtu kama yeye siyo wa kukosa laki mbili. Nauhakika mpaka wiki hii iishe TID atakuwa nje.


            Mambo ya Flaviana MatataSauzi..

 

 


 

 

Miss Tanzania 2008 Nasreem (Kati)akiwa na Mshindi wa pili Pendo David(kushoto)
na wa Tatu Sylvia Mashuda.
***********************

K-lyn...Baby.

 KISURA.....FACE OF TANZANIA
Irene is a face of Tanzania

BESTA.....

BESTA.....

CHEGGE MTOTO WA MAMA SAIDI.

        HII NDIYO NDOA YA JUMA NATURE!!


Lil-Wayne-bm01.jpg

MTUMZIMA
MwanaFA akiwa katika pozi..........
Mwana kavunja kabati kinoma,muite Binamu,FA,DON,DAR FINEST na majina kibao,

BANANA ON STAGE...!!!

BANANA ON STAGE...!!!

MIMI NDO SALAMA BWANAA.....MWINGINE FEKIII...

JOKATE MWOGELE.........

JOKATE  MWOGELE.........
She is multi-talents,nakukubali sana dada,kip it up

C PWAA AND FID Q.....

C PWAA AND FID Q.....

-LIVE IN STAGE...
LIVE IN STAGE...
Bric na Lace wakifanya shoo ndani ya Ubungo Plaza katika shindano la BSS 2008

-BRICK AND LACE IN TANZANIA....
BRICK AND LACE IN TANZANIA.... 

KC $ JOJO....IN DAR.
KC $ JOJO....IN DAR.
KC aki-perform

 

Hammy J..akibonyeza kinzenji!!!

BONYEEEEEEEEEEEEEEE...!

T12 PRODUCTIONS-Mikocheni B,Dar es SalaaM.